Wananchi walamikia serikali wilaya ya Ngara -Benaco katika egesho la magari makubwa
Hii imetokana na kwamba magari makubwa yalikuwa yakipaki kwenye maegesho ya watu binafsi na kupata riziki katika biashara yao, lakini baada ya serikali kuzuia maegesho binafsi na kuamuru zote zipaki egesho la serikali wananchi pamoja na madereva wamelalamika kwanza madereva kwa kuhofia usalama wa magari yao lakini pia huduma za jamii ziko mbali na egesho hilo.
Serikali litazame hili kwa jicho la pili
ReplyDelete